ARIS UDSM - Mfumo wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
ARIS UDSM – (Academic Registration Information System of University of Dar es Salaam) ni mfumo wa wanafunzi unaoshikilia taarifa zote zinazohusiana na wanafunzi pamoja na masomo yao katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
ARIS UDSM inawaruhusu walimu na wanafunzi ku-manage kazi zao katika mtandao
ARIS UDSM inafanya kazi gani?
- Wanafunzi
- Kusajili kozi katika mtandao
- Kuangalia coursework
- Kuangalia maendeleo ya kozi na matokeo
- Notes na material mengine kwa ajili ya kozi
- Ku-confirm mahafali
- Ku-edit taarifa zao
- Malipo
- Walimu
- Kuangalia idadi ya wanafunzia katika kozi
- Kuchapisha coursework
- Kuchapisha matokeo ya kozi
- Kufuatilia maendeleo ya wanafunzi
Comments
Post a Comment