Posts

ARIS MZUMBE - Mfumo wa Taarifa za wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe

ARIS MZUMBE ni mfumo wa taarifa za wanafunzi wa chuo Kikuu cha Mzumbe. Wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hiki wanaweza kutumia mfumo wa ARIS unaopatikana katika mtandao. Mfumo huu unawawezesha wanafunzi na wafanyakazi wa chuo Kikuu cha Mzumbe kufanya baadhi ya mambo yanayohusu chuo mtandaoni. Wanafunzi wanaweza kufanya usajili wa kozi kuangalia maemdeleo ya masomo yao katika mtandao huu. Walimu na Wafanyakazi wengine wanaweza kuweka masomo, kuangalia idadi ya wanafunzi kulingana na kozi husika na kufuatilia maendeleo ya wanafunzi. Mambo mengine yanayopatinkana ARIS ni kama kufuatilia makazi/hostel na kufanya malipo Ku - Log in Mzumbe Aris Link za Ku log in ziko hapo chini.  Kumbuka: Username ni namba yako ya usajili mfano 31302493/T.17 na password ni jina lako la ukoo lililoandikwa kwa herufi kubwa. ukifanikiwa ku log in kwa mara ya kwanza hakikisha unabadilisha neno la siri ili isiwe rahisi mtu kujaribu kuingia katika akaunti yako bila ruhusa. Kama umekutana na tatizo lolote linalohusi

ARIS UDSM - Mfumo wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Image
ARIS UDSM – (Academic Registration Information System of University of Dar es Salaam) ni mfumo wa wanafunzi unaoshikilia taarifa zote zinazohusiana na wanafunzi pamoja na masomo yao katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ARIS UDSM inawaruhusu walimu na wanafunzi ku-manage kazi zao katika mtandao ARIS UDSM inafanya kazi gani? Wanafunzi Kusajili kozi katika mtandao Kuangalia coursework Kuangalia maendeleo ya kozi na matokeo Notes na material mengine kwa ajili ya kozi Ku-confirm mahafali Ku-edit taarifa zao Malipo Walimu Kuangalia idadi ya wanafunzia katika kozi Kuchapisha coursework Kuchapisha matokeo ya kozi Kufuatilia maendeleo ya wanafunzi Kwa ajili ya wanafunzi tu Wanafunzi wanatakiwa kutumia  Registration numba kama username na jina la ukoo kwa herufi kubwa kama neno la siri(password) Unashauriwa kubadilisha neno la siri punde tu utakapofanikiwa ku-login kwa mara ya kwanza na uhakikishe unakumbuka neno hilo kwa wakati wote utakaotumia SR Ingia ARI

UDOM SR - Mfumo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma

Image
Udom Sr – (The University of Dodoma Students Records Management System) ni mfumo wa wanafunzi unaoshikilia taarifa zote zinazohusiana na wanafunzi pamoja na masomo yao katika Chuo Kikuu cha Dodoma Udom Sr inawaruhusu walimu na wanafunzi ku-manage kazi zao katika mtandao Udom Sr inafanya kazi gani? Wanafunzi Kusajili kozi katika mtandao Kuangalia coursework Kuangalia maendeleo ya kozi na matokeo Notes na material mengine kwa ajili ya kozi Ku-confirm mahafali Ku-edit taarifa zao Malipo Walimu Kuangalia idadi ya wanafunzia katika kozi Kuchapisha coursework Kuchapisha matokeo ya kozi Kufuatilia maendeleo ya wanafunzi Kwa ajili ya wanafunzi tu Wanafunzi wanatakiwa kutumia  Registration numba kama username na jina la ukoo kwa herufi kubwa kama neno la siri(password) Unashauriwa kubadilisha neno la siri punde tu utakapofanikiwa ku-login kwa mara ya kwanza na uhakikishe unakumbuka neno hilo kwa wakati wote utakaotumia SR Ingia UDOM SR

Chuo cha Mipango Dodoma - Institute of Rural Development Planning (IRDP)

Image
Chuo cha Mipango Dodoma - Institute of Rural Development Planning (IRDP) ni taasisi iliyoanzishwa mwaka 1980 kwa mujibu wa sheria namba 8 ya mwaka 1980. Chuo kinapatikana Dodoma Mjini pamoja na vyuo vingine kama Chuo kikuu cha Dodoma(University of Dodoma), Chuo cha utumishi wa umma na chuo cha madini dodoma. Chuo hiki kinatoa kozi 27 na kina wanafunzi wapatao 6000 na wakufunzi 50. Mawasiliano ya irdp Dodoma Mkurugenzi ( Dodoma Campus ) S.L.P 138, DODOMA, TANZANIA. Simu: +255(0) 26230214 E-mail: rector@irdp.ac.tz Mkurugenzi kanda ya ziwa ( Mwanza Campus ) S.L.P 11957, MWANZA, TANZANIA. Simu: +255(0) 28 2560994/5 E-mail: mwanza@irdp.ac.tz au zaidi  https://www.irdp.ac.tz/contactus.php     Institute of rural development planning Dodoma application form Kuapply katika chuo cha mipango Dodoma ingia katika website http://oas.irdp.ac.tz/site/login.aspx kisha fuata hatua za kujisajili, kulipia na kuchagua kozi. Chuo cha mipango dodoma joining instructions Sifahamu kama kuna njia ya moja kwa

Chuo cha Madini Dodoma - Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma )

Image
Chuo cha Madini Dodoma - Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma ) ni taasisi ya Sayansi ya Dunia (Earth Science) ambayo ilianzishwa na wizara ya Madini Dodoma Agosti 1982. Taasisi imesajiliwa na NACTE chini ya wizara ya Elimu Tanzania. Chuo kinapatikana Jijini Dodoma eneo la Mbwanga, kata ya Miyuji pembeni kidogo ya barabara ya Arusha na karibu zaidi na Chuo cha Mipango . Chuo hiki ni moja kati ya vyuo bora Tanzania vinavyotambulika kwa kutoa wataalamu bora katika sekta ya madini. Kuangalia matokeo yaliyopita angalia HAPA Mawasiliano ya Chuo cha Madini Dodoma Chuo cha Madini S.L.P 1696 Dodoma – Tanzania Email : principal@mri.ac.tz info@mri.ac.tz Simu: +255 (0) 26-2300472 +255 (0) 26-2303159 Mitandao ya kijamii Facebook Kozi zinazotolewa Ordinary Diploma in Geology and Mineral Exploration Ordinary Diploma in Petroleum Geosciences Ordinary Diploma in Mining Engineering Ordinary Diploma in Mineral Processing Engineering Ordinary Diploma in Environmental Engineering and Ma