UDOM SR - Mfumo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
Udom Sr – (The University of Dodoma Students Records Management System) ni mfumo wa wanafunzi unaoshikilia taarifa zote zinazohusiana na wanafunzi pamoja na masomo yao katika Chuo Kikuu cha Dodoma
Udom Sr inawaruhusu walimu na wanafunzi ku-manage kazi zao katika mtandao
Udom Sr inawaruhusu walimu na wanafunzi ku-manage kazi zao katika mtandao
Udom Sr inafanya kazi gani?
- Wanafunzi
- Kusajili kozi katika mtandao
- Kuangalia coursework
- Kuangalia maendeleo ya kozi na matokeo
- Notes na material mengine kwa ajili ya kozi
- Ku-confirm mahafali
- Ku-edit taarifa zao
- Malipo
- Walimu
- Kuangalia idadi ya wanafunzia katika kozi
- Kuchapisha coursework
- Kuchapisha matokeo ya kozi
- Kufuatilia maendeleo ya wanafunzi
Hizi comment in kwa ajili ya wanafunzi tu?
ReplyDelete