Chuo cha Mipango Dodoma - Institute of Rural Development Planning (IRDP)
Chuo cha Mipango Dodoma - Institute of Rural Development Planning (IRDP) ni taasisi iliyoanzishwa mwaka 1980 kwa mujibu wa sheria namba 8 ya mwaka 1980.
Chuo kinapatikana Dodoma Mjini pamoja na vyuo vingine kama Chuo kikuu cha Dodoma(University of Dodoma), Chuo cha utumishi wa umma na chuo cha madini dodoma.
Chuo hiki kinatoa kozi 27 na kina wanafunzi wapatao 6000 na wakufunzi 50.
S.L.P 138, DODOMA, TANZANIA.
Simu: +255(0) 26230214
E-mail: rector@irdp.ac.tz
Mkurugenzi kanda ya ziwa ( Mwanza Campus )
S.L.P 11957, MWANZA, TANZANIA.
Simu: +255(0) 28 2560994/5
E-mail: mwanza@irdp.ac.tz
au zaidi https://www.irdp.ac.tz/contactus.php
kisha fuata hatua za kujisajili, kulipia na kuchagua kozi.
Chuo kinapatikana Dodoma Mjini pamoja na vyuo vingine kama Chuo kikuu cha Dodoma(University of Dodoma), Chuo cha utumishi wa umma na chuo cha madini dodoma.
Chuo hiki kinatoa kozi 27 na kina wanafunzi wapatao 6000 na wakufunzi 50.
Mawasiliano ya irdp Dodoma
Mkurugenzi ( Dodoma Campus )S.L.P 138, DODOMA, TANZANIA.
Simu: +255(0) 26230214
E-mail: rector@irdp.ac.tz
Mkurugenzi kanda ya ziwa ( Mwanza Campus )
S.L.P 11957, MWANZA, TANZANIA.
Simu: +255(0) 28 2560994/5
E-mail: mwanza@irdp.ac.tz
au zaidi https://www.irdp.ac.tz/contactus.php
Institute of rural development planning Dodoma application form
Kuapply katika chuo cha mipango Dodoma ingia katika website http://oas.irdp.ac.tz/site/login.aspxkisha fuata hatua za kujisajili, kulipia na kuchagua kozi.
Nawezaje kuaaply katika chuo chenu kwa sasa
ReplyDeleteUnataka kuaply kwa level gani Jeradina, certificate, diploma au degree?
ReplyDeleteUkisomea environment planning and management ukimaliza masomo unakua kama
ReplyDeleteApplications kwa Certificate courses kwa 2020/2021 zinaanza lini?
ReplyDeleteKwa kawaida huwa inakua kati ya mwezi Juni hadi Septemba
ReplyDeleteUnaweza kuwa Environmental Manager na nyingine nyingi zinazohusu mazingira. We hakikisha tu unapenda mazingira kama unataka kusoma hio kozi mengine mbele yatakuwa rahisi.
ReplyDeleteNawezaje kuapply chuo,na Niko mbali
ReplyDeleteUnaweza ku apply mtandaoni kwa kutumia link hii http://oas.irdp.ac.tz/site/login.aspx
ReplyDeleteMm ni mesoma mwanza nataka nije kusoma level ya diploma je inafaa nishamaliza certificate
DeleteUkisomea rural development planning unakuwa,kam nani
ReplyDeleteMtenda wa Mtaa kwa ngazi ya cheri na pia Mtendaji wa kata kwa ngazi ya Diploma
DeleteInabidi ufahamu kuwa kozi inahusu maswala ya mipango ya maendeleo vijijini so sanasana utafanya kazi zinazohusu maendeleo ya vijijini. Kuhusu majina jina la kazi sijui kwa kweli.
ReplyDeletenaweza kuapply diploma
ReplyDeleteUnaweza Catherine, link ya kuapply hii hapa http://oas.irdp.ac.tz/site/login.aspx au unaweza kufika chuoni.
ReplyDeleteje mwenye alama za C,D,D,E,E anaweza kuapply maana nilisoma pre entry mwaka 2015 na kusoma certificate hapohapo mipango sasa naweza kuendelea na diploma
ReplyDeleteWasiliana na chuo alafu uwaelezee swala lako. Angalia mawasiliano yao hapa http://mojasky.com/contact-za-chuo-cha-mipango-ni-zipi/
ReplyDeleteNahitaji kuapply kwenye chuo chenu.. je nawezaje???
ReplyDeletenahitaji kujiunga na chuo chenu nifanyeje
ReplyDeleteNawezaje kuapply chuo chenu nitumie link
ReplyDeleteNajaribu kuangalia selection ya hapo kwenu sioni waliochaguliwa naweza kuona majina hayo kwa namna gani
ReplyDeleteFuatilia ukurasa huu https://www.irdp.ac.tz/Read-All-Announcement . Taarifa zote za chuo zinawekwa hapo
Delete