ARIS MZUMBE - Mfumo wa Taarifa za wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe

ARIS MZUMBE ni mfumo wa taarifa za wanafunzi wa chuo Kikuu cha Mzumbe. Wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hiki wanaweza kutumia mfumo wa ARIS unaopatikana katika mtandao.

Mfumo huu unawawezesha wanafunzi na wafanyakazi wa chuo Kikuu cha Mzumbe kufanya baadhi ya mambo yanayohusu chuo mtandaoni.


Wanafunzi wanaweza kufanya usajili wa kozi kuangalia maemdeleo ya masomo yao katika mtandao huu.

Walimu na Wafanyakazi wengine wanaweza kuweka masomo, kuangalia idadi ya wanafunzi kulingana na kozi husika na kufuatilia maendeleo ya wanafunzi.


Mambo mengine yanayopatinkana ARIS ni kama kufuatilia makazi/hostel na kufanya malipo

Ku - Log in Mzumbe Aris

Link za Ku log in ziko hapo chini. 
Kumbuka: Username ni namba yako ya usajili mfano 31302493/T.17 na password ni jina lako la ukoo lililoandikwa kwa herufi kubwa. ukifanikiwa ku log in kwa mara ya kwanza hakikisha unabadilisha neno la siri ili isiwe rahisi mtu kujaribu kuingia katika akaunti yako bila ruhusa.

Kama umekutana na tatizo lolote linalohusiana na aris mfano umeshindwa ku-login, nenda katika ofisi za utawala au tuma email kupitia bmramba@mzumbe.ac.tz

Aris ya Main Campus

Aris ya Mbeya Campus

Comments

Popular posts from this blog

Chuo cha Mipango Dodoma - Institute of Rural Development Planning (IRDP)

Chuo cha Madini Dodoma - Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma )

UDOM SR - Mfumo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma