Posts

Showing posts from August, 2020

Chuo cha Madini Dodoma - Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma )

Image
Chuo cha Madini Dodoma - Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma ) ni taasisi ya Sayansi ya Dunia (Earth Science) ambayo ilianzishwa na wizara ya Madini Dodoma Agosti 1982. Taasisi imesajiliwa na NACTE chini ya wizara ya Elimu Tanzania. Chuo kinapatikana Jijini Dodoma eneo la Mbwanga, kata ya Miyuji pembeni kidogo ya barabara ya Arusha na karibu zaidi na Chuo cha Mipango . Chuo hiki ni moja kati ya vyuo bora Tanzania vinavyotambulika kwa kutoa wataalamu bora katika sekta ya madini. Kuangalia matokeo yaliyopita angalia HAPA Mawasiliano ya Chuo cha Madini Dodoma Chuo cha Madini S.L.P 1696 Dodoma – Tanzania Email : principal@mri.ac.tz info@mri.ac.tz Simu: +255 (0) 26-2300472 +255 (0) 26-2303159 Mitandao ya kijamii Facebook Kozi zinazotolewa Ordinary Diploma in Geology and Mineral Exploration Ordinary Diploma in Petroleum Geosciences Ordinary Diploma in Mining Engineering Ordinary Diploma in Mineral Processing Engineering Ordinary Diploma in Environmental Engineering an...